Hiyo picha hapo juu ni muonekano wa nyumbani anakotokea Diamond Platnumz alikolelewa toka anakua.. panaitwa Tandale
kwenye jiji la Dar es salaam ambapo staa huyu amepakumbuka siku zote na
alitumia pesa zake kupatengeneza upya kama inavyoonekana kwenye hii video fupi chini baada ya hii picha.
Diamond
akifanya video mbele ya nyumba ya zamani.. muonekano baada ya kuibomoa
na kuijenga upya ndio upo kwenye hii video fupi hapa chini
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )