Baada ya kuachana na super model Amber Rose rapa Wiz Khalifa amekuwa
akitajwa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti ila hakuna aliyewahi
kuthibitishwa na Wiz Mwenyewe.
Mtandao wa OK umeripoti kuwa kwa sasa Wiz Khalifa amengoa kifaa kipya
ambacho ni Ex wa pop staa Justin Bieber anayefahamika kama Selena Gomez.
Kama ni kweli basi wanasema Selena anachezea moto sababu atapata drama
kutoka kwa Amber Rose na Wiz Khalifa sio mwanaume wa kuwa naye kama
unataka kuwa na maadili flani amazing kwa watu wako kutokana na tabia
yake ya starehe na bangi muda wote.
Kwa sasa Amber Rose anamahusiano na Terrence Ross.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )