Msanii Baraka da Prince amesema tayari ameshamtambulisha mchumba wake Najma kwa wazazi na sasa anajiandaa kufunga naye ndoa. Baraka anasema uamuzi wa kumpeleka Najma kwa wazazi wake ni kwa ajili ya kuzima ndoto za wanaume wengine 'wanaomzengea' mchumba wake huyo.
Je, kutambulisha mchumba kwa wazazi, inaweza kuwa kinga ya wewe kutonyang'anywa goma na wakwasi wa mjini
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )