Kutokana na kazi ya katibu mkuu wa chama na ukimya uliopo wa katibu mkuu huyu ni vema tukafahamu yupo kweli?
Inawezekana ni mazoea tuliojengewa na katibu mkuu aliejiondoa CDM Dr
Slaa ambaye alikuwa ni mtu wakimkakati zaidi,katibu mkuu wa sasa
anaonekana kama kiatu kinampwaya.
Maswali haya ni muhimu kwani kama kalala huenda yakamuamsha kutoka usingizini.
Una Maoni Gani?
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )