Mbunge
wa jimbo la Nyamagama,jijini Mwanza pichani akifurahia mara baada ya
kutangazwa mshindi wa jimbo hilo na Mahakama kuu ya jijini Mwanza dhidi
ya aliyekuwa Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia chama cha
CHADEMA,Mh.Ezekiel Wenje.
****
Kesi
ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Jimbo la Nyamagana iliyofunguliwa na
aliyekuwa mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje (CHADEMA) dhidi ya Mbunge wa
sasa wa Nyamagana Stanslaus Mabula (CCM) ilikuwa ikiendelea katika
mahakama Kuu Mwanza ambapo Ezekiel Wenje alifungua kesi hiyo akipinga
matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yakimpa
ushindi Mbunge wa sasa, Stanslaus Mabula.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )