Featured
Loading...

Dogo Janja awatoa povu mashabiki wake baada ya kuonyesha mabunda ya pesa


Msanii wa Hip Hop kutoka Tip Top Connection, Dogo Janja amewatoa udenda mashabiki wake wa instagram baada ya kupost picha akionyesha mabunda ya pesa huku pesa zingine zikiwa kwenye begi.
Dogo Janja

Rapa huyo anayefanya vizuri na wimbo wake ‘My Life’, alipost picha hizo instagram na kuandika: Mshamba anaeishi maisha yake.
hh

Baada yakupost picha hizo instagram, mashabiki walianza kupost maoni yao huku wengi wakionyesha kutopendezwa na hatua hiyo.

_____ozii
Pesa kuonesha hadhan ndugu utajkuta pabaya watu skuiz washa geuka so watu pls so ktu kzu kufanya hvy uspende kuonesha hadhara ni wazo langu tu ndugu one love man

Checheclassic
Hyoo pesa umeitoa wp janjaro


Fightking
Dont be happy becouse of Money it is just paper

Materujacqueline_fans
Nikopeshe bac maana mate yamenitoka elfu kumi kuishika Siku hizi ni shidaa

omachito1977
Con ese dinero te puedes comprar una cara nueva (Pamoja na fedha kwamba unaweza kununua sura mpya)

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top