Featured
Loading...

PICHA 10: Taarifa rasmi za kifo cha Kinyambe kutoka katika familia yake Uyole Mbeya


May 12 2016 taarifa za kifo cha msanii wa filamu za Comedy James Petro Nsemwa ambaye wengi tunamfahamu kwa jina la ‘Kinyambe’  zilianza kusambaa katika mitandao ya kijamii, kwa baadhi ya watu maarufu na wasanii kupost picha na kuonesha kuguswa na taarifa za kifo chake.
DSC_8398
Ripota wa MZALENDOHURU alifanikiwa kufika Uyole Mbeya na kukutana na baba mzazi wa marehemu mzee Petro Lugendelo Nsemwa na kutueleza nini kimepelekea kifo cha Kinyambe ” Marehemu alikuwa anaumwa kwa kipindi cha miezi nane, alikuwa anasumbuliwa na pafu la upande mmoja lilikuwa alipumui vizuri”
DSC_8393
Kingine ambacho hufahamu ni kuwa ndani ya mwezi mmoja yaani siku kadhaa kabla ya Kinyambe kufariki alimpoteza mtoto wake wa mwisho Bray James Petro aliyekuwa na umri wa miaka minne, ila jana May 11 2016 ndio alifariki baba mtu yaani Kinyambe. Jina halisi analotambulika katika familia yake ni James Petro Nsemwa na sio Mohammed Abdallah kama ambavyo wengi wanafahamu.
DSC_8390
DSC_8383
DSC_8400
DSC_8403
DSC_8365
Grace Petro Nsemwa dada wa marehemu ‘Kinyambe’
DSC_8370
Mzee Petro Nsemwa
DSC_8374

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top