Featured
Loading...

Wanafunzi walipogundua ni Diamond anapita pembeni yao kuingia Bungeni


Diamond Platnumz na kundi la muziki la Afrika Kusini Mafikizolo ambao watatumbuiza mbele ya Wanachuo wa UDOM leo Dodoma, walialikwa na Waziri Nape Nnauye kuingia bungeni Dodoma kama wanavyoalikwa Wageni wengine.
Wakati wanaingia kulikua na baadhi ya Wanafunzi wamealikwa pia na walipomshtukia Diamond walianza kupiga kelele za furaha kumuona staa huyu wa bongofleva wanaemkubali, unaweza kuwatazama kwenye hii video fupi hapa chini.
Diamond ameandika >>>Ilibidi kujikausha na kueka sura ya userious ili furaha isiwazidi tukaja haribu Hali ya hewa ikawafujo tukapelekwa Polisi bure kwa kusababisha Zogo Bungeni’

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top