Prof. Mkilaha wa Engineering UDSM (Director General, Atomic Energy in
Arusha and Chairman of SUMATRA Board of Directors) amejipiga risasi kwa
bahati mbaya wakati akisafisha pistol yake akiwa nyumbani kwake Dar na
kufariki.
Mungu amlaze mahali pema peponi!!
RIP PROF.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )