Featured
Loading...

Zuu (Jike Shupa) Aelezea Jinsi Shilole Alivyogeuka Adui


Jike Shupa na Shilole
Zuu amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda, Jike Shupa. Kilichomfanya ajulikane zaidi ni jinsi alivyofanana na Shilole. Lakini kwa sasa amedai kuwa kuna vita vikubwa kati yake na Shishi. Mtazame hapa akielezea.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top