Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli amemthibitisha
Geryson Msigwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Kabla Geryson
Msigwa alikuwa akikaimu cheo hicho.
Aidha Mh. Rais amemteu Jerry Muro aliyekuwa msemaji wa Timu ya Mpira wa Miguu Yanga kuwa msaidizi wake.
Hongereni Kurugenzi ya Habari Ikulu kwa nafasi hizo