Toka ameachwa na Karrueche Tran mwaka 2015 Baada ya Chriss Brown Kukiri kuwa amezaa na mwanamke mwigine Hakuwahi kuonekana na mwanamke mwingine wakiwa katika mahusiano Serious ila sasa ni kama amepata mrembo mwingine ambae ameonekana akiongozana nae sehemu mbali mbali, Chanzo kinadai mrembo huyo anaitwa Bella na inasemekana Chris Brown anampenda ile mbaya....
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )