Featured
Loading...

JAY MOE ANAJIPANGA KURUDISHA MAKOLONI YAKE,


Jay_Mchopnga

Msanii aliyepotea kwa kipindi kirefu na kurudi kwa style tofauti na iliyozoeleka, namuongelea Jay Moe mzee wa Pesa ya Madafu, ametoa ya moyoni kuhusu video ya ngoma yake.

jay-moeRapper Jay Moe amesema wimbo wake wa ‘Famous’ ambao alimshirikisha P-Funk, unafanya vizuri mpaka leo ukipigwa unaweza ukadhani ni mpya na hilo ndio linamfanya anajuta kwanini hakuifanyia video ngoma hiyo.

pfunk_barber

“Bado ukipigwa hadi leo unasuond wa kisasa zaidi, na kama nikisema nataka kushoot ‘kama unataka demu’ kuna wengine siwezi kuwapata kirahisi, lakini Famous it’s just me and P-Funk na kuonesha tu hiyo lifestyle ya Famous guy inakuwaje, kwahiyo tunataka tushoot hiyo,” alisema Jay Moe


Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top