Featured
Loading...

Mbunge Professor Jay kuvunja ukimya BongoFlevani..


Ni July 23, 2016 ambapo headlines zinamilikiwa na Mbunge wa jimbo la Mikumi, Joseph Haule aka Professor Jay ambae hivi karibuni atavunja ukimya wa muda mrefu baada ya kuachia single yake mpya iitwayo Kazi Kazi aliyomshirikisha Sholo Mwamba.
Akizungumza na millardayo.com alisema…>>>>>’Napenda kuwakaribisha mashabiki wangu wakae tayari kwa kuupokea wimbo wangu mpya uitwao Kazi Kazi niliyomshirikisha Sholo Mwamba, maana ya Kazi Kazi kuwaambia watu walikata tamaa kitu kinachoweza kuwasaidia maishani ni kufanya kazi kwa bidii’– Professor

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top