MC Pilipili ametupia Picha katika Ukurasa wake wa Facebook akiwa ameandika " Nimepata Ajali mbaya ya Gari namshukuru Mungu nimetoka salama"
Baada ya Mungwana Blog kuwasiliana nae akasema kuwa Alipata Ajali usiku wa jana Saa 8 Maeneo ya Chole Road Masaki karibu na Fish Market, Aligongana na Gari ndogo IST uso kwa uso.. Dereva wa IST alikuwa kalewa.
Ndani ya Gari alikuwa na Team yake, alikuwepo Stella Secretary wake, Joseph Meneja wake, Shazymelody Rais wa Band yake ya Pilipili Band.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )