July 1 2016 taarifa za mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu
ya Yanga Jerry Muro kuitwa na kamati ya maadili kujieleza kutokana na
kauli zake, iliingia kwenye headlines kabla ya leo July 2 kuitikia wito,
baada ya kamati kuona Jerry hana cha kujibu na barua kuwa iliandikwa
kimakosa, Jerry Muro alifunguka haya.
“Huu ni ushindi mwingine klabu ya Yanga inaupata japokuwa sio ushindi wa
uwanjani, ni ushindi wa haki na maslahi ya Yanga, tumepambana hadi
tumeweza kushinda huu ni ushindi kwa wanachama wote wa Yanga, walitupa
mualiko wa kutuita katika kamati ya maadili, mualiko ambao haupo sawa
sawa
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )