Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice
Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.
Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.
Innalillah waina illaih rajiun
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )