Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
Loading...
SIKILIZA Wimbo Mpya wa Chris Brown Aliomshirikisha Wizkid Kutoka Nigeria
Good news kwa wasanii Afrika kuzidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo wizkid amezichukua Headlines leo June 30 2016 kupitia kituo kikubwa cha kimataifa MTV Base wameripoti kuwa Wizkid amefanya collabo msanii wa marekani Chrisbrown kwenye hit yake mpya iitwayo “SHABBA”.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
CodeNirvana