Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya July 14
2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa
wakifanya vizuri katika soka kwa muda mrefu, leo July 14 nakusogezea TBT
picha za staa wa zamani wa FC Barcelona Xavi Hernandez, Victor Valdes, mastaa wa zamani wa Liverpool Pepe Reina, Steven Gerrard, mastaa wa zamani wa Real Madrid Ricardo Kaka na golikipa Iker Casillas.
Kaka enzi zake za utoto
Iker Casillas
Iker Casillas enzi zake za utoto
Xavi Hernandez
Xavi Hernandez enzi zake za utoto
Kutoka kushoto ni Pepe Reina na Victor Valdes
Kutoka kushoto ni Victor Valdes na Pepe Reina enzi zao za utoto
Steven Gerrard
Kutoka kushoto ni Steven Gerrard akiwa na Xavi Hernandez enzi za utoto.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )