Wasanii wa Bongo Movie na muziki wa kizazi kimpya wamesema watamkumbuka
sana Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Jakaya Kikwete kwa msaada aliyowapatia
kipiti cha utawala wake akiwa Rais na Mwenyekiti wa chama hicho.
Wasanii wameyasema hayo usiku wa kuamkia leo mjini Dodoma walipofanya
tamasha la Usiku wa Wasanii kwa ajili ya kumuaga baada ya kustaafu rasmi
uwenyekiti wa chama hicho na kumuachia uongozi Rais John Magufuli