Lile timbwili la madale bado linaendelea kuwaka moto , hivi karibuni
mzazi mwenzie na Diamond, Zari Hassan amepost picha akiwa na mama yake
mzazi huku akimwagia sifa kemkem kuwa Mama yake huyo ana tabia nzuri
,ana hekima na kumfananisha na queen ,kitendo hicho kimetafsiriwa na
wapenda ubuyu mjini kuwa zari alimrushia dongo mama wa mzazi mwenzie
Diamond ambaye amekua na sifa ya kuwa mkorofi,mshari na asiyependa amani
na mkwe wake huyo mtarajiwa
Ameandika hivi:
Zarithebosslady
She was born and raised like a Queen, acts like a Queen, behaves like a
Queen, slays like a Queen, moves gracefully like a Queen. Even If she
knows she ain't a Royal deep down she is one. Slay Queen, Mama Africa
Mrs Halima Hassan
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )