Featured
Loading...

Bundi atua CUF: Prof. Lipumba, Sakaya, Mbunge wa Mtwara Mjini na Wengine Kadhaa Watemwa


Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 watimuliwa rasmi uanachama wa chama cha wananchi (CUF). Wengine wapewa onyo kali.

Hayo ni maamuzi ya Baraza Kuu lililoketi leo huko Zanzibar.

Kwa taarifa zaidi fuatilia press conference ya chama kesho saa 5 asubuhi itakayosomwa na Mhe. Mazrui.

Wabunge Magreth Sakaya na Mbunge wa Mtwara mjini nao wanadaiwa kuvuliwa uanachama.

Abdul Kambaya (Mkurugenzi wa Habari) naye kavuliwa uanachama.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top