SAUDI ARABIA: Mwanamume mmoja akamatwa na Polisi kwa kumpiga risasi
mwanaume mtaalamu wa afya ya uzazi aliyemsaidia mkewe kujifungua,
akisema ni haramu kwa mwanamume kuona uchi wa mkewe.
Inasemekana kuwa mtuhumiwa alikasirishwa na wasimamizi wa hospitali
waliomruhusu daktari Muhannad al Zabn kumsaidia mkewe kujifungua.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )