Unaambiwa Ray C sasa ni chuma cha Reli Amerudi katika hali yake ya
kawaida kabisa baada ya kukaa Sober House kwa ajili ya tatizo la dawa za
kulevya....Ray c kwasasa ameanza kutumia mtandap wake wa Instagram
baada ya kuacha muda mrefu, mmiliki wa kituo hicho Nuru kayaongea haya
kuhusiana na post mpya za msanii huyo kwenye mtandao wa instagram na
mengineyo
Ray C mpaka sasa hivi anaendelea vizuri na kuhusiana na zile post zake
kwenye instagram yeye ndio anahusika kuzipost kwani amerudi katika hali
yake ya kawaida na vitu anavyopost ni kuhusiana na hali yake kwahiyo
maendeleo yake sio mabaya’
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )