Stori kutoka chama cha soka cha England FA kimethibitisha staa huyo kufungiwa kucheza mechi ya ufunguzi kutokana na kuwa na adhabu ya kadi mbili za njano alizooneshwa katika michuano ya Copa Italia akiwa na Juventus ya Italia, adhabu ambayo kwa mujibu wa kanuni anahama nayo.
Paul Pogba alijiunga na Man United akitokea Juventus ya Italia kwa ada ya uhamisho wa rekodi ya dunia wa pound milioni zaidi ya 100, lakini Paul Pogba anaungana na Robert Huth, Moussa Dembele na Chris Smalling waliofungiwa na FA kucheza mechi za ufunguzi.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )