Vijana wawili wa CHADEMA huko Mbeya wamekamatwa na Jeshi la polisi
mkoani Mbeya kwa kudaiwa kusambaza ujumbe wa kichochezi kwa kutumia
simu.
Vijana hao ni Moses Ezekia Mwaifumba ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa
BAVICHA Mbeya na mwenzake Meshack Yohana Mgaya mwenye umri wa miaka 28
ambaye polisi wamedai alikuwa anashirikiana na mtuhumiwa huyo