TRA wanapotoa statement kuhusu kupungua kwa mizigo kunakotokana na
ongezeko la kodi na kusema kuna Propaganda dhidi yao, kuna tofauti gani
na Mbowe kusema kuondolewa kwake na NHC pale Bilicanas ni kwa sababu za
kisiasa na kwamba ni kwa kuwa yeye Mpinzani? ....
Tuna tatizo kama nchi.
Kuchanganya Biashara, uchumi na siasa kunatusababisha tutoe majibu mepesi ktk maswali magumu.
#KuanzaUpyaSiUjinga.
By Habib Mchange
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )