Mrembo kutoka Bongoflevani Feza Kessy ambaye ameshawahi
kuzichukua headlines baada ya kushiriki shindano la Big Brother Africa
leo October 1 2016 amejibu taarifa iliyokuwa ikimuhusisha Mrembo huyo
kutoka na Mkali mwingine anayefanya vizuri kwenye midundo ya Hiphop Chid
Benz, haya ndio yalikuwa majibu ya Feza Kessy kuhusu kuwahi kuwa na
mahusiano na rapper Chid Benz.
‘Hata mimi nilisikiaga hizo taarifa lakini sio ukweli Chid Benz ni mshikaji wangu sana maana hata juzi nimetoka kuongea nae kwenye simu‘>>> Feza Kessy
‘Hata mimi nilisikiaga hizo taarifa lakini sio ukweli Chid Benz ni mshikaji wangu sana maana hata juzi nimetoka kuongea nae kwenye simu‘>>> Feza Kessy
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )