Featured
Loading...

MAMBO 6 AMBAYO WATU WgENYE MAFANIKIO HAWAPOTEZI MUDA KUYAFANYA.


1. Hawapotezi muda kwenye mitandao ya kijamii.
2. Hawapotezi muda kufikiria makosa yaliyopita.
3. Hawapotezi muda kuanza siku bila kuipangilia.

  4. Hawapotezi muda kufikiria mambo yanayofanywa na wengine.
5. Hawapotezi muda kuwa na watu hasi.
6. Hawapotezi muda kwa mambo wasiyoyaweza kuyatawala.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright 2025 MZALENDO HURU | Designed By Code Nirvana
Back To Top