Featured
Loading...

Mama Diamond Amtumia Salama za Birthday Wema Sepetu...Zari Alinyimwa.....Kunani?


September 28, 2016 ni siku ambayo anazaliwa mrembo na mwigizaji wa Filamu, Wema Sepetu ambapo pamoja na watu wengi kumtakia kila la kheri  yupo pia Mama mzazi wa Diamond Platnumz ambaye kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ya Mama yake Diamond akaisindikizia na maneno haya ..

Happy birthday.. Mamy akee @wemasepetu mungu akuongezee umri na akujali kheri akufungulie Mlango wa baraka kwa kila uliombalo.Amin😘😘 πŸ‘‘πŸŽ‰

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top