Nchi
ya China imezidi kuwa kwenye headlines kwenye ishu za madaraja na kwa
taarifa tu ni kwamba katika Top 10 ya madaraja marefu duniani nane
yanatoka China na karibu yote yamejengwa mikoa ya mbali ambayo iko kwenye milima.
September
10 2016 China wamekamilisha ujenzi wa daraja la Beipanjiang ambalo
linapita kwenye milima. Daraja la Beipanjiang ambalo limejengwa juu
zaidi kiasi cha futi 1,850 kutoka kwenye ardhi limechukua miaka mitatu
mpaka Juzi September 10 2016 lilipokamilika.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )