Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya
Simba Zacharia Hans Poppe leo Septemba 12 2016 ametimiza ahadi yake aliyoitoa kwa beki wa pembeni wa klabu ya
Simba Mohammed Hussein ambaye wengi wamemzoea kwa jina la
Tshabalala.
Hans Poppe alipomkabidhi kadi ya gari mchezaji huyo
Hans Poppe ambaye amemkabidhi zawadi ya gari aina ya
Toyota Raum beki huyo, ametimiza ahadi aliyoitoa kwa nyota huyo, baada ya kufanya vizuri msimu uliopita kama alivyomuahidi.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )