Featured
Loading...

Juma Kaseja na Mohamed Banka wameitwa timu ya Taifa


Septemba 12 2016 majina ya wanasoka mahiri waliyowahi kuichezea Simba na Yanga Mohamed Banka na golikipa Juma Kaseja wameitwa na kocha John Mwansasu kuongeza nguvu katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya soka la Ufukweni.
Kaseja na Banka wameonezwa na kocha Mwansasu ili kuongeza nguvu katika mchezo wa marudiano dhidi ya timu ya taifa ya Ivory Coast, iliyoifunga Tanzania 7-3 August 26 katika uwanja wa Karume.
“Tumeingiza maingizo mawili kwanza tumemuongeza Mohamed Banka na Juma Kaseja, tumewaongeza hawa kwa sababu ni wachezaji wazoefu na tunahitaji watu wenye uzoefu kwenye eneo la golini na safu ya ushambuliaji

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top