Featured
Loading...

VIDEO: Magoli ya Serengeti Boys vs Congo 18/09/ 2016, Full Time 3-2


Septemba 18 2016 wawakilishi pekee wa Tanzania katika soka la wanaume Serengeti Boys katika michuano ya kuwania kufuzu kucheza AFCON 2017 Madagascar, Serengeti Boys walicheza dhidi ya Congo Brazzaville na kushinda kwa goli 3-2, magoli ambayo yalifungwa na Yohana Mkomola na Issa Makamba, wakati magoli ya Congo yalifungwa na Langa Percy kwa mkwaju wa penati na Bopoumela Chardon.


Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top