Trending in Bongo leo ni pamoja na picha mpya ya Zari ambayo Diamond
Platnumz ameitumia kusifia muonekano wake akiwa na ujauzito.
Iki ni miongoni mwa couple zinazofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki
Diamond aliweka ujumbe huu kwenye picha Hii… “Pregnant women are always
sexy!… Damn! Kama ntokee hapo???????????? @ZaritheBossLady ”