Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss
Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana
miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid alichosema ni kuwa yeye
ni Applicant wa IFM. Sasa sijajua hiz rumors zinatoka wapi. Please cheki
hii video kuanzia dk ya 8.
Miss kinondoni 2016.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )