Kwa taarifa nilizozinyaka hivi karibuni hukooo Instagram ni kuwa kipenzi
cha wengi ( najua wengi mtabisha) si mwingine mrembo wetu Miss TZ 2006
na CEO wa kampuni ya ENDLESS FAME the one & only WEMA ABRAHAM ISAC
SEPETU anaolewa hivi karibuni na model anaekuja kwa spidi ya 4G CALISAH
ABDULHAMID.
Though hawaja comfirm wenyewe kuhusiana na habari hii ila nimejiongeza tu mwenyewe baada ya kuzinyaka picha hizi...
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )