Binafsi nimewiwa sana kukuletea makala kuhusu Freemasonry kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya watanzania wengi kutopenda kusoma mambo mbalimbali zaidi sana kusikia kwani ukimuuliza kwamba “Freemasons” ni kina nani atabakia kumung’unya maneno tu.
Pia Kifo cha Mwigizaji Kipenzi cha watu Steven Kanumba kuwa alikuwa Freemason au la?
Cha msingi ndugu msomaji na mfuatiliaji wa masuala mbalimbali duniani hakuna mwanadamu yeyote Yule aliyezaliwa “Freemasons”.
Freemasonry
inaweza kutafasriwa kwa namna mbalimbali lakini … is fraternal
organizational whose members help each other and communicate using
secret signs.
Kwa
maana hii kwamba “Freemasonry”… ni jumuiya ya watu wenye nia ya
kusaidiana kila mmoja ambao huwasiliana kwa kutumia alama za siri.
ASILI YA FREEMASONRY
Asili
ya kundi hili imetoka mbali sana hata kuja kuitwa Freemasonry. Ukiisoma
katika Biblia kwenye vitabu vya Injili kuna mahali Yesu wakati wa
huduma yake ulimwenguni alizungumza kuhusu “Kizazi cha Nyoka”- (Brood of
Vipers).
Msomaji jiulize swali hili ilikuwaje mpaka akatamka maneno hayo magumu?...
Historia Fupi ya Kizazi cha Nyoka
Kizazi cha Nyoka kilitanuka zaidi kutoka Mashariki ya Kati, Asia, Ulaya na Amerika.
Na hii ndio sababu ya kuona jambo hili ni gumu barani Afrika lakini kwenye maeneo tajwa ni suala la kawaida.
Na hii ndio sababu ya kuona jambo hili ni gumu barani Afrika lakini kwenye maeneo tajwa ni suala la kawaida.
Ili kujua kwa undani zaidi kuhusu FREEMASONS ni lazima ujue kwanza Historia ya Kale na Utamaduni.
SEHEMU YA KWANZA
HISTORIA YA KALE HADI FREEMASONS
Wamisri wanasema miungu au waungu wao waliojulikana kama wachawi walikuja na boti zinazolea angani.
Hii ni kwa ufupi tu kwa habari ya maendeleo ya watu wa kale, ya watu wa Mesopotamia.
Hii ni kwa ufupi tu kwa habari ya maendeleo ya watu wa kale, ya watu wa Mesopotamia.
Jamii
ni nyingi duniani zinaelezea kuhusu uvamizi wa kabila hilo jipya, au
miungu ilivyokuja kwao na aina ya vyombo vieleacyo angani, na kuingiza
maarifa, pamoja na ustaarabu mkubwa katika jamii.leo hi vyombo hivyo
vinajulikana kama UFO yaani Unidentified Flying Object.
Na taarifa za Serikali ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya zinasema hakuna ushahidi wa kutosha unaothibitisha madai hayo yahusuyo jamii za kale na wageni kutoka nje ya dunia.
Na taarifa za Serikali ya Marekani na nchi nyingine za Ulaya zinasema hakuna ushahidi wa kutosha unaothibitisha madai hayo yahusuyo jamii za kale na wageni kutoka nje ya dunia.
Lakini
mbona taarifa hizo hazisemi chcochote kuhusu kile kilichotokana na
wageni hao? Ustaarabu wa hali ya juu, ujenzi wa ajabu ambao hata leo,
pamoja na teknolojia iliyopo, itatugharimu mengi kuufanikisha ujuzi huo
wa watu wa kale.
Mbona
taarifa zilizopo hazisemi lolote kuhusu elimu ya sayari zilzopo na
mifumo yake ya jua, ambayo ndiyo kwanza vinagunduliwa sasa na
wanasayansi wetu vikiwa vinafanana kabisa na vile vinavyoelezwa na
wageni hao maelfu ya miaka ya nyuma kabla ya Kristo?.
LEO NIISHIE HAPO TUKUTANE SEHEMU YA PILI.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )