Video imevuja ya mwadada Sepenga akifanya yake ,juzi kati alihojiwa juu
ya mahusiano yake na Calisah alimkana akasema ni rafiki na hawajawahi
fanya lolote, sasa leo Video imevuja huko instagram kila page inatembea
anakiss na huyu dogo,huyu ndio Wema sepetu sasa sijui lini atatulia na
kuacha mambo ya Skendo..