Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa
Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu
Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni Akiwa amevaa Kijisketi cha
Polisi kinacho mchora Hips na makalio yake kiasi cha kuleta utata
kwenye mitandao ya kijamii kwa kusababisha Mjadala usio na Mwisho kila
mtu akisifia hips na kalio lake..Vipi we Mwanamme Trafiki kama huyu
akikusimamisha Barabarani ? Najua lazima uchukue Number ya Simu hahahha
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )