MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too
Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora
wa Mwaka 2016 ambacho hutolewa kwa msanii asiyekuwa wa nchi hiyo
(Nigeria) ambaye anafanya vizuri kwa bara zima la Afrika..
Katika tuzo hizo, wengine waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali ni Wizkid, Tekno na Tiwa Savage, Kiss Daniel, Simi na wengine kibao.
Katika tuzo hizo, wengine waliokuwa wakiwania vipengele mbalimbali ni Wizkid, Tekno na Tiwa Savage, Kiss Daniel, Simi na wengine kibao.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )