Featured
Loading...

Roma Awatolea Uvivu na Kuwapa za Uso Nay wa Mitego na Madee Kwa Ugomvi Wao Usio na Mbele wala Nyuma

 

Mwana Hip Hop mkali Roma amewafungukia Madee na Nay wa Mitego kwa Ugomvi wao wa Kugombania nani ni Rais wa Manzese..

Ameandika haya:

BY @roma2030 - Oyaaaaah!! Sililizeni Nyie
Mnatuchosha Bana na Vimaneno maneno vyenu kila saa kwenye Radio Zetu....Ili Mradi tu Mvikikishe #vinyimbo vyenu mlivyoachia!!!
Mbona #Sisi_Tumetulia_tu. Na tumeachia Dude.
😉😉😉😉😉😉😉😉 #SASA_NASEMAJEEEEE
Nyie Si Mnaigombania #MANZESE!!??? Sasa nataka Nyote wawili Madee na Nay
Mlitamke hilo neno MANZESE atakayelitamka vizuri kwa kulipatia ndio
MWENYE MANZESE YAKE.😂😂 Aaaaf Andaeni #Pambano mimi #Refa

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top