Mwanafunzi
wa kike aliyejificha ndani ya kabati kwa saa 48 wakati wa shambulizi la
chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya hatimaye amejitokeza.Msichana huyo
anasema kuwa alitumia mafuta aina ya 'lotion' kama chakula ili aweze
kuishi

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )