Producer wa muziki anayekuja juu kwasasa hapa nchini
ambaye anafanya kazi katika studio za Mj Records,
Daxo Chali amefunguka kupitia kipindi cha Bongo.Home
cha @timesfmtz na kudai kwa sasa @darassacmg asiumize
tena kichwa kutoa wimbo mkali wa kuuzidi #muziki
.
.
"Darassa yupo vizuri darassa amepata hit song unajua hits song aliyopata darassa kwa wasanii inatokeaga mara moja sana mimi mziki nafananisha na kama zigo ushaelewa, zigo ni ngoma ambayo imehit sana kwa muda mfupi tu ikahit ikachukua mwaka mzima ay akaja akatoa remix ikahit mwaka mzima" alisema
@daxochali .
.
"so darassa level aliyofikia sasa hivi kashapata hit song ya namna kama ile au sio anachotakiwa sasa hivi asideal sana na muziki adeal na kukuza brand yake ajibrand sasa kwamba ifike stage kama Diamond sasa hivi hajali sana akiingia studio sijui natoa ngoma ya aina gani ni ile brand yake sasa ndio inauza so darassa kashafika level ya kutoa hits 3 mfululizo atafute brand sasa, yani brand yake ndio iuze sasa hivi anavyovaa anavyokaa watu wanavyomzunguka maisha yake" ameongeza
.
.
Daxo Chali ni ndugu na Producer mkongwe nchini ambaye
pia anafanya kazi katika studio za master J inayojulikana
kama MJ Records ambayo ilianza kufanya kazi za wasanii
miaka ya nyuma zaidi toka game ya muziki inaanza hapa
nchini....
KARIBU KUTOA MAONI YAKO HAPA⤵
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )