Featured
Loading...

BALAA KUBWA DIAMOND ALIFANYA DUBAI, APOKELEWA KAMA MFALME

Nyota ya Diamond Platinumz yazidi kupendeza zaidi kila siku zinavyosonga apokelewa kama mfalme nchi ya watu akiwa Dubai.

Ameanza kukaribia kufikia malengo yake ya kuwa msanii mkubwa duniani, akiongea na kituo kimoja London alionyesha kiu ya mafanikio yake ni kufika mbali na kupeleka muziki wa Tanzania Mbali.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top