Baada ya kesi ya Lulu kufungwa yaani kufika tamati na hukumu kutolewa kw aLulu kutiwa hatiani kwa kifungo cha miaka miwili Jela.
Mama Kanumba kama desturi siku zote akina mama huwa wanakuwa
wanapenda sana wanao, alionyesha kufurahishwa na hukumu kama
ilivyotolewa na mahakama. “Naishukuru sana mahakama kwa kutenda haki
katika hili”