Shilole akizidi kupagawisha mashabiki wake.
“Jamani hebu mwangalieni Shilole vitendo anavyovifanya pale jukwaani
yaani dah, anajua kabisa hii shoo hata watoto wadogo wapo, hapo sijui
anawafundisha nini, mimi sijapenda kabisa,” alisikika akilalamika
shabiki mmoja.
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )