Baada ya kudhibitishwa na bunge kwa kura 312 na kula kiapo, mchaka mchaka wa kuwaletea watanzania maendeleoukaanza.
Nidhamu, utii na uwajibikaji vikaongezeka miongoni mwa watumishi wa
umma, viongozi waandamizi serikalini na sekta binafsi kama vile taasisi
na makampuni ya ukandarasi na kurudisha sura ya serikali maana viongozi
waandamizi wakiwemo mawaziri walijua yupo mtu makini na jasiri wa kuuliza juu ya uwajibikaji wao.
Sifa zinazomtanabaisha Ndg Lowassa Ngoyai Edward ili tumwamini kumkabidhi nchi 2015.........
1. Ujasiri, uzalendo na utoaji maamuzi magumu
Ujasiri na uzalendo hautoki hewani,ni mazao ya upendo anaokuwa nao mtu kwa nchi yake. Lakini pia hutokana na mazingira ambayo mtu amekulia.
Ujasiri na uzalendo hautoki hewani,ni mazao ya upendo anaokuwa nao mtu kwa nchi yake. Lakini pia hutokana na mazingira ambayo mtu amekulia.
2. Ni mchapakazi, msikivu na mbunifu
Mh. Edward Ngoyai Lowassa kwenye moja ya hotuba zake za kuahirisha bunge, aliamua kuzungumzia saula la muda na uwajibikaji kazini
3. Ni mcha Mungu , muadilifu na ana upendo kwa watanzania
4. Ana ushawishi wa hoja
Sifa za uongozi mahiri ni pamoja na mbinu za kisasa za mawasiliano. Mh. Edward Lowassa alijaliwa uwezo wa kuelezea jambo na kulifafanua likaeleweka.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )