Featured
Loading...

UKWELI JUU YA KIFO CHA JOHN CENA

 
Katika siku za hivi karibuni mcheza mieleka maarufu John Felix Anthony Cena amekuwa moja ya wahanga wa mitandao ya kijamii baada ya kuzushiwa kifo.
Habari zimesambaa kwa wingi mtandaoni kuwa Cena amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali ya gari,vyanzo vingine vinadai Cena

amefariki baada ya kuumia kichwani alipokuwa mazoezini na mcheza mieleka mwingine maarufu Dwayne Johnson(The Rock)
Uongozi mzima wa WWE umekanusha habari hizo na kuziita habari zisizokuwa na tija zaidi ya kuzitafutia umaarufu baadhi ya media.

Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
© Copyright MZALENDO HURU
Back To Top