Basi
LA Super Feo linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Songea latumbukia
mtoni Leo asubuhi. Super Feo hilo lilikuwa likitokea Mbeya kwenda
Songea limetumbukia mtoni baada ya kuovertake na kukutana na lori mbele
yake
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )